Tangu awamu ya pili iliyoongozwa na Mhe. Rais Mwinyi kumekuwa na wimbi kubwa la wizi wa fedha za umma either kupitia watumishi wa Umma au Taasisi mbalimbali. Hata hivyo katika kipindi chote hicho Serikali imekuwa ikiwanyooshea vidole watumishi wanaobainika kuhusika na wizi huo bila kuchunguzi hasa chanzo cha wizi huu. Leo hii nataka kutoa taarifa ya kiuchunguzi kuhusu mtandao wa ...
Mwaka 2014 mchakato wa ujenzi Mradi wa Dege Eco Village uliopo eneo la Dege Beach Kigamboni (Dar es Salaam), ulikuwa wa ubia kati Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) na Kampuni ya Azimio Housing Estate Limited. Mkataba kati ya NSSF na Azimio Housing Estate Limited (AHEL) ulisainiwa Mwaka 2012 na kuanzisha Kampuni ya Hodhi ya “Hifadhi Builders” ambapo AHEL ilikuwa ...
Waliokopa hela katika mabenki na kukimbia ni pamoja na bwana Shabir Shamshudin Abji aliyekuwa anamiliki hisa za New Africa Hotel. Wengine ni Ramesh Nandrabhai Patel aliyekuwa mbia wa Bank M na mmiliki wa Auto Mech, Mzee Baghdela anayemiliki vituo vya mafuta kikiwemo cha Puma (ya pale Posta karibu na Serena Hotel) na Mmiliki wa Star Minerals (Tanzania) aitwaye Otto Mosha. ...
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Mwanga, Salehe Mkwizu, ameingia katika kashfa kubwa baada ya kupigana na Diwani wa Kata ya Kighare, Innocent Msemo kiini kikitajwa kuwa masuala ya ushoga. Taarifa zinadai kuwa tukio hilo la aibu na kufedhehesha lilitokea tarehe 21,2022 katika baa mashuhuri ya MBC katika mji mdogo wa Mwanga, na tayari mwenyekiti huyo ametakiwa kujisalimisha polisi na ...
Tunaomba Mhe. Rais Samia Suluhu Hasan na Ofisi ya Rais pamoja na wasaidizi wako Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Hussein A. Kattanga, Waziri, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Jenista Mhagama, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Jaji Mathew Mwaimu, Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji wa Rufani ...
The United Republic of Tanzania Parliament Speaker, Dr. Tulia Ackson launched a capacity building session to about 120 parliamentarians on the importance of Protecting Personal Information and Privacy of Tanzanians conducted by the Executive Director of JamiiForums, Mr. Maxence Melo at Msekwa Hall, in Dodoma on 27th of June 2022. Among other things, Dr. Tulia congratulated JamiiForums and its stakeholders ...
Wazalendo wameamua kuyaanika haya. Vyombo vya usalama vifuatilie tuhuma hizi na kuzifanyia kazi, vinginevyo Tanzania chini ya Samia haitakuwa katika mikono salama. Hatua zikianza kuchukuliwa, itatupa matumaini mapya. ...
Inashangaza sana! Mtumishi wa Umma kuvimbishia kifua viongozi wote wa Taifa hili, kisa tu yeye ni Daktari wa Rais. Profesa Mchembe, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Daktari wa Rais na aliyepata kuwa Mkuu wa Hospitali ya Emilius Mzena inayoendeshwa na Idara ya Usalama wa Taifa anaonekana kuwa na nguvu kuliko kiongozi yeyote mwingine nchini ukiachia Rais Dkt. John Pombe ...
WAWEKEZAJI na matajiri wa viwanda katika nchi kadhaa duniani, familia ya Jamal Hassan Abdullah Alawadhi ya Kuwait, wamekumbana na mkwamo wa kuanzisha kiwanda cha dawa nchini Tanzania baada ya kuleta nchini kiasi cha Euro 150,000,000 ambazo ni takribani Shilingi za kitanzania bilioni 425, ambazo bado zinadaiwa kushikiliwa na serikali kwa zaidi ya miaka miwili sasa. Chanzo Familia ya matajiri hao ...
Ofisi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imejiandaa kulinda usalama wa Wabunge wa viti maalum wa CHADEMA dhidi ya tuhuma na hata vurugu wanazoweza kufanyiwa na yeyote. Msimamo huo umetolewa faragha jana na Spika Job Ndugai kwa wabunge hao aliokutana nao ofisini kwake Dodoma. Taarifa za uhakika zinaeleza kuwa hata kama wabunge hao wataitwa na chama ...